Simba watapindua Meza kibabe 4-0 Aggregate 4-4.

Simba watapindua Meza kibabe 4-0 Aggregate 4-4.

kabunda88

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2015
Posts
3,094
Reaction score
2,688
Baada ya Hizo goal 4 watakazo zipata mbele kuna Giza sijajua linamaanisha nini kwny huu utabir wangu.

Hata mwisho wa mechi bado sijaona nini kitatokea kila nikipiga hesabu za Mizimwi yangu hapa naona giza tu mwisho wa mechi daaaa hii game kwnn lkn.

Jasho Lina toka hapa hawa machief wametunyoosha paka wenyewe wanaogopa hii kazi daa .

Nawasilisha.

Ntarudi lkn japo ngumu kunielewa.
 
Kamati ya ufundi ishaingia kazini goli nne zipo na hata zaidi ya hizo.
Kaizer watatoka iwe kwa matuta ama dk tisini,Simba hawezi lala njaa atamla hata chura lakini ni lazima hale.
Simba nguvu moja.
 
Back
Top Bottom