Baada ya Hizo goal 4 watakazo zipata mbele kuna Giza sijajua linamaanisha nini kwny huu utabir wangu.
Hata mwisho wa mechi bado sijaona nini kitatokea kila nikipiga hesabu za Mizimwi yangu hapa naona giza tu mwisho wa mechi daaaa hii game kwnn lkn.
Jasho Lina toka hapa hawa machief wametunyoosha paka wenyewe wanaogopa hii kazi daa .
Nawasilisha.
Ntarudi lkn japo ngumu kunielewa.