Simba wawaalika APR ya Rwanda siku ya Simba day

Simba wawaalika APR ya Rwanda siku ya Simba day

Imethibitishwa siyo tetesi tena. Simba imeamua ku test kikosi chake dhidi ya APR ya Rwanda tarehe 3 August.

Simba wapo Egypt wakijifua Kwa Siri na wamecheza mchezo mmoja dhidi ya team ya daraja la pili na kupigwa goals 6. Lakini viongozi walipuuza kuwaharifu wanachama na mashabiki mwenendo wa team Yao huko pre season.

Simba wamearika team ndogo kutoka CECAFA tulitegemea waalike team giant kama tutavyofanya Yanga ambapo tutaleta kati ya Al Ahly, Mamelod, Es Tunis, TP Mazembe.

Simba wamealika team dhaifu ili wakiifunga wazidi kuwahadaa mashabiki wao mbumbumbu ati wana team nzuri.

Sasa ni hivi wajifiche ila tarehe 8 August itakuwa nane nane tutapiga 8
Pale churaa anapokuwa busy na habari za Mnyama Simba..
Huoni aibu.
 
330e6ed2830e43ada73fb89a8a96cd56.jpg
 
magoma fc ndiyo wa kuonea huruma jamani; kapigwa viwili kule bondeni pamoja na kujaza wazee wote ukitia ndani debe na kimeo wa Lusaka
7_2
Bado inakupa wenge
 
Back
Top Bottom