technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Kuna tetesi mjini kwamba simba wametuma barua TFF ili game yao na Yanga isogezwe mbele zaidi.
Haijajulikana sababu za kutaka game isogezwe mbele ni nini ila wajuvi wa mambo mjini wanasema ni kukwepa vichapo mfululizo .
My take Yanga msikubali kusogeza mechi mbele nyie ndio mna game Nigeria Hawa wapo hapahapa bongo.
Pia Simba mjitambue na mkumbuke kwa Kaizer Chief ilikuwaje baada ya game zenu ku be cancelled!?
Waidadiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!😄😄😄😄😄😄