Simba we don’t deserve this

Simba we don’t deserve this

Hili sio jukwaa la matusi, jifunzeni kujibu hoja kinzani kiungwana.
Tofauti ya mwanaYanga na kolo ni kubwa, Yangu huongea kwa hoja na Makolo huongea matusi tu na hili si la bahati mbaya, Makolo wamejaa hasira za pira papatu papatu na kutokuwa na kombe lolote na ligi zote huanza kwa mbwembwe na kuishia kuangukia pua! Ngao ya jamii ni mbao sio kombe!
 
View attachment 2742888
Mwamnyeto na Bacca wamecheza vizuri
Pengo la kapombe na Mohamed halijaonekana, Yanga inaongoza league, Simba tumepangiwa na Al Ahly Super League, wachezaji wetu bado mfumo hawajaelewana.

Simba we dont deserve this pain wallahi..[emoji24][emoji24][emoji24]
Darasa la tatu,mwalimu wangu alinisisitiza niache ujinga na niamue kuandika:-
1-Simba doesn't deserve it. OR,
2-We,Simbas, don't deserve it.
3-They don't deserve it.
Cha ajabu,hadi leo namuamini.🤔
 
Back
Top Bottom