Simba wekeni screen kubwa uwanja wa uhuru kiingilio kiwe 3000

Simba wekeni screen kubwa uwanja wa uhuru kiingilio kiwe 3000

Naunga mkono hoja ili tuwaaibishe wote waliopanga kuhujumu jambo letu.Viongozi shughulikieni hili!

Wakiligomea hili nalo basi kwa umoja wetu mashabiki wa Simba SC tumekubaliana tutaendelea kukaa nje ya uwanja wa Lupaso mwanzo mwisho huku tukiendelea na shamra shamra za Simba Day.
Hivi kuna tatizo la tickets?
 
Hata tukiweka screen pale Mlimani City mbona itakuwa fresh tu
 
Kuna Corona, tujiadhari hata Hans ni Corona ilimuondoa kutokana na mambo ya soka
 
Hawa watu Ni wachochezi tu, tiketi zinanunuliwa kirahisi Sana. Kama una N card yako unatmia Mpesa kiraini unapata tkt yako. Nawashangaa mijamaa imekomaa na propaganda uchwara.
 
Back
Top Bottom