njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo mbaya sana kwa Tz mmepitwa na simba na namungo tu, east africa mko namba sita nyuma ya simba,gor mahia, rayon,kcca,namungoHatupo pabaya sana.
Mimi siyo shabiki wa uto mkuu.siyo mbaya sana kwa Tz mmepitwa na simba na namungo tu, east africa mko namba sita nyuma ya simba,gor mahia, rayon,kcca,namungo
Kumbe timu zetu hata top 10 hazimo?View attachment 1813191View attachment 1813192View attachment 1813193hii ni hadi 23 may 2021 nahisi caf wamesahau kuweka kombe la mapinduzi tukufu
kama tungeingia nusu nafasi ya 11 ilikuwa wazi kabisaaaandani ya misimu miwili top ten simba itajimilikisha
kama siyo karia na tff yanga wangekuwa top 5 mkuu wanaonewa sanaKumbe timu zetu hata top 10 hazimo?
Tuna safari ndefu sana!
Hata Mimi nashangaa[emoji1][emoji1]Kumbe timu zetu hata top 10 hazimo?
Tuna safari ndefu sana!
Karia amawaonea kivipi bwashee?kama siyo karia na tff yanga wangekuwa top 5 mkuu wanaonewa sana