Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

Simba ya 17 Afrika, Yanga ya 69

Uto mbona hawapiti hapa?
Screen Shot 2021-01-11 at 8.54.39 PM.png
 
Yeeessss mambo ni fayaaaa ranking mpya ya CAF mwezi january imetoka simba iko nafasi ya 17 ikiwa na points 14, utopolo wako namba 69 wakiwa na point 1, Gor Mahia ni ya 29, kwa Afrika mashariki mnyama mkali ni namba 1 ya pili Gor Mahia ya tatu ni rayon wakifatiwa na KCCA kisha utopolo ni namba tano.

Umenifurahisha ulipokata list kisa umpate Utopolo tu. 🤣🤣🤣.

Shadeeya my dear njoo huku wamekuweka nafasi ya 69 wakati kuna TK Master.
 
Endapo ikajitahidi kufika Robo Fainal Bc watakuwa ndani ya top 10 Kazi nzuri Kazi yakueleweka
Kazi ya Maana
Hongereni Sana Simba
This is Simba
 
Umenifurahisha ulipokata list kisa umpate Utopolo tu. 🤣🤣🤣.

Shadeeya my dear njoo huku wamekuweka nafasi ya 69 wakati kuna TK Master.
Mtani wacha nimalizie furaha ya kukununisha jana hebu. 😂😂

Kisha ndo nije unifafanulie mleta uzi anaongelea kitu gani. Teh.
 
"Yaani simba yakuwa ya 17 sisi 69 kweli mbona Caf wanaupendeleo wa wazi wazi"
Alisikika mwana utopolo mmoja akilalamika
 
Mtani wacha nimalizie furaha ya kukununisha jana hebu. 😂😂

Kisha ndo nije unifafanulie mleta uzi anaongelea kitu gani. Teh.
Hongera mtani kwa kutwaa kombe la Bonanza japo nimelala mapema. Mshukuruni Shikalo maana si kwa utalaam wa kukamata penati huo.
 
Back
Top Bottom