mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Search "Utopwinyo" linaweza kutokea.Nime scroll mpaka club ya mwisho ya jiti tatu na tisini lakini sijaona neno young au yanga
Tufahamishane kama kuna jina lingine altenative ambalo ndugu zetu wanalitumia kisirisiri
Kuna uzi wanatembea nao wakiringa kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi!😂😂😂😂Nafasi ambayo ndugu zetu hawajawahi kaimu hata kwenye rank za Africa
NimesearchSearch "Utopwinyo" linaweza kutokea.
Mchezaji ambaye anatangazwa na media kama kitenge TV kua ni mfungaji boraKuna uzi wanatembea nao wakiringa kwa kutoa mchezaji bora wa mwezi!😂😂😂😂
Hawapendi na hawataki kujua.Utopwenge ni majanga jangwani.Mchezaji ambaye anatangazwa na media kama kitenge TV kua ni mfungaji bora
Ni tofauti sana na mchezaji ambaye goli lake linazua mijadala kwenye media za kitaifa na kuwekwa katika list ya magoli bora ya msimu
Lakini tusiwabeze kumbuka title ya habari imesema men's club rankingHawapendi na hawataki kujua.Utopwenge ni majanga jangwani.
Tatizo ni stress za timu yako kutokwepo hata kwenye list ya duniaKuna muda unawaza kwa nini mashabiki wengi wa Makolo wana tatizo la Afya ya akili unakosa jibu
😄😅😆😁Wataenda Kulalamika Chamwino IkuluNafasi ambayo ndugu zetu hawajawahi kaimu hata kwenye rank za Africa
Pole Sana Yanga Utaitafuta Kwenye Mtandao Wowote HaipoKuna timu ya Yanga imenimalizia bando, nimeisaka wala sijaiona..!
Simba SC Klabu Bora Afrika na Kubwa.