Simba ya 98 kwa ubora duniani

Simba ya 98 kwa ubora duniani

The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)

1. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly - (20)
2. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids - (55)
3. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad - (78)
4. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Sundowns - (92)
5. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Simba - (98)
6. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ CR Belouizdad - (104)
7. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ JS Kabylie - (113)
8. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ด Petro Luanda - (133)
9. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ CS Sfaxien - (136)
10. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ ES Tunis - (141)
 
The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)

1. [emoji1093] Al Ahly - (20)
2. [emoji1093] Pyramids - (55)
3. [emoji1173] Wydad - (78)
4. [emoji1221] Sundowns - (92)
5. [emoji1241] Simba - (98)
6. [emoji1026] CR Belouizdad - (104)
7. [emoji1026] JS Kabylie - (113)
8. [emoji1029] Petro Luanda - (133)
9. [emoji1249] CS Sfaxien - (136)
10. [emoji1249] ES Tunis - (141)
Tukiwaambia kuwa wana mengi ya kujifinza kupitia Simba SC huwa wagumu kuelewa.

Wacha waendelee na ngojera zao za ubingwa wa kihistoria
 
Yaani ma mbumbumbu Yana buruzwa tu na yenyewe Yana ridhika, wakati kwenye takwimu za Caf za tarehe 6 march 2022 ata kwenye timu miamoja za Afrika hawamo.
 
Najaribu tu kuwaza kwa mapana

Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 18
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 98
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
 
1646760378158.png
 
Najaribu tu kuwaza kwa mapana

Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100

Rage alishawaambia hawa ni mbumbumbu....
 
Ogopa sana kushabikia timu ambayo inakujitaji kujielezea sana, lazima ufe kwa presha

Simba nguvu moja!
 
Najaribu tu kuwaza kwa mapana

Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
Mashabiki wa hii timu wallah wana mtindio wa ubongo si bure
 
Fanya hizo league zina team 10 tu alf ongeza teams 5 kutoka league za Portugal, Belgium, Turkey, Netherlands, Brazil, Scotland, Austria, Russia, Japan, China and too many to mention
 
Najaribu tu kuwaza kwa mapana

Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
German Ina timu 18

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ma mbumbumbu Yana buruzwa tu na yenyewe Yana ridhika, wakati kwenye takwimu za Caf za tarehe 6 march 2022 ata kwenye timu miamoja za Afrika hawamo.
Si uingie kweny website ya iffhs ucheck mwenyewe, au nao wamehongwa na Mo
 
Back
Top Bottom