Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Ogopa sana yani kwenye vyanzo vyote za tafiti ukakosekana koteTafiti za uongo
Tukiwaambia kuwa wana mengi ya kujifinza kupitia Simba SC huwa wagumu kuelewa.The top 10 #IFFHS Ranking - Africa. (World)
1. [emoji1093] Al Ahly - (20)
2. [emoji1093] Pyramids - (55)
3. [emoji1173] Wydad - (78)
4. [emoji1221] Sundowns - (92)
5. [emoji1241] Simba - (98)
6. [emoji1026] CR Belouizdad - (104)
7. [emoji1026] JS Kabylie - (113)
8. [emoji1029] Petro Luanda - (133)
9. [emoji1249] CS Sfaxien - (136)
10. [emoji1249] ES Tunis - (141)
Mnanini zaidi kubanjuliwa hamsa 5 umesahau?Tukiwaambia kuwa wana mengi ya kujifinza kupitia Simba SC huwa wagumu kuelewa.
Wacha waendelee na ngojera zao za ubingwa wa kihistoria
Rage alishawaambia hawa ni mbumbumbu....Najaribu tu kuwaza kwa mapana
Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
Mashabiki wa hii timu wallah wana mtindio wa ubongo si bureNajaribu tu kuwaza kwa mapana
Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
Kapime akiri yako umesahau Barcelona aka Barca alikulaga wiki +1 yaan baoMnanini zaidi kubanjuliwa hamsa 5 umesahau?
Fanya hizo league zina team 10 tu alf ongeza teams 5 kutoka league za Portugal, Belgium, Turkey, Netherlands, Brazil, Scotland, Austria, Russia, Japan, China and too many to mentionNajaribu tu kuwaza kwa mapana
Ligi kuu ya uingereza ina vilabu 20
Ligi kuu ya Hispania ina vilabu 20
Ligi kuu ya Ujerumani ina vilabu 20
Ligi kuu ya Italy ina vilabu 20
Ligi ya ufaransa ina vilabu 20
Mpaka hapo kuna jumla ya timu 100
Je kiuhalisia ni timu ipi ambayo inayoburuza mkia kwenye ligi hizo tano atazidiwa ubora na Simba? Hapo ni ligi bora tu za ulaya sijagusis ligi za mabara mengine ambazo timu ya Brazil na Argentina, Uruguay, zinatoa vilabu vyao kwenye ligi kuu. Anyway kwavile ni kwavile ni takwimu kutoka IFFHS washabiki na viongozi wacha waji mwambafai navyo. Fifa wakitoa world club ranking na Simba wakiwa wa 98 basi nipigwe ban
German Ina timu 18Najaribu tu kuwaza kwa mapana

Si uingie kweny website ya iffhs ucheck mwenyewe, au nao wamehongwa na MoYaani ma mbumbumbu Yana buruzwa tu na yenyewe Yana ridhika, wakati kwenye takwimu za Caf za tarehe 6 march 2022 ata kwenye timu miamoja za Afrika hawamo.
Sawa ni timu 18
Kwa akili zako unadhani hicho kitu kina ukweli?Si uingie kweny website ya iffhs ucheck mwenyewe, au nao wamehongwa na Mo
Mkuu hebu achana na hao iffhs.Si uingie kweny website ya iffhs ucheck mwenyewe, au nao wamehongwa na Mo