Simba hii imekuwa ya kushangaza, ni Simba ambayo Sisi Wana Simba tumeyasikia mengi!
Cha kushangaza, toka Tu uongozi ulipomtangaza kocha mpya NI Fadlu. Ukweli yalisemwa mengi ya kejeri nk. Eti kocha hajawai kuwa kocha mkuu, ataiwezaje Simba! Niliwahi waambia watu kuwa ubuyu ulianza Kama mchicha, na tena hata hao makocha wanaotisha nao walianza ngazi za chini!
Cha kushangaza Timu ikabomolewa, bomoa bomoa ikakamilika, ikabidi UJENZI wa Timu uanze chini ya Fadlu. Cha kushangaza Ujenzi kakabidhiwa fundi ambae hajawai kuwa fundi mkuu, Bali alikotoka alikuwa fundi msaidizi, yalisemwa Sana yaliyosemwa kuhoji uwezo WA Fadlu!
Cha kushangaza fundi bado anaendelea na Ujenzi, matokeo ya Timu yamekuwa NI ya ushindi! Cha kushangaza kila Timu ikicheza eti eti zimekuwa nyingi. Eti Leo mmeshindia bahati Timu haikucheza vizuri!!! Eti mkikutana na Timu ngumu mtafungwa nyingi!
Cha kushangaza nauliza, hivi hii Simba mechi zote ilizocheza imecheza na Timu dhaifu Tu?? Hivi hii Simba Kwa sasa iko nusu fainali imefikia hapo Kwa kubebwa??
Elewa kuwa Fadlu mbinu zake NI za wale wanyama ' cold blooded animal!' wanyama hawa wanaishi kulingana na joto la sehemu husika. Kama NI Bariadi nao wanakuwa Baridi, na kama joto nao wanakuwa joto kulingana na sehemu husika. Hii ndio mbinu ya Fadlu, anabadilika kutokana na mchezo usika. Kama mfuatiliaji WA mechi za Simba utakuwa umeligundua Hilo.
Kwa mbinu zake Fadlu ' Camouflage ' Kama kinyonga anavyojilinda Kwa kubadili rangi yake kutokana na Mahalia alipo, wanaSimba TUTEGEMEE KOMBE LA SHIRIKISHO AFRICA KUBAKI MSIMBAZI pasipo mashaka. Tusitishike eti Berkane NI kubwa, NI Sawa, lakini Simba nayo NI kubwa, hapo hakuna mdogo. Simba ni tishio vile vile, Kama kwenye ngumu, tutasema tuko kwenye uzito mmoja. KOMBE linabaki Msimbazi