Simba ya Mgunda ingejipigia Club Africain goli tano bila

Simba ya Mgunda ingejipigia Club Africain goli tano bila

je parle

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Posts
2,022
Reaction score
3,919
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.

Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele, walikuwa wanavizia tu penati. Ila Refa kama aliwashtukia mwanzoni, nadhani Eng. Hersi alishampa ishara Refa kabla.

Hii Club Africain ni Zalan FC iliyochangamka tu, hata hivyo hongereni Yanga kwa kutinga Shirikisho.

Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake. Mdogo mdogo na nyie mtafika Champions League.
 
20221109_221926.jpg
 
Hii timu nilikuwa siielewi kwa nn imefika hapa .mechi iliyopita nilikuwa taifa pale walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe...
Sasa si muwafunge nyie hao yanga.. kila timu inayofungwa na yanga mara mbovu mara gsm wanahonga wakati huo nyie mnakutana na yanga sio chini ya mara 3 kwa msimu mmoja kwanini msiwafunge nyie?
 
Hii timu nilikuwa siielewi kwa nn imefika hapa .mechi iliyopita nilikuwa taifa pale walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.

Na hapa kwao leo sikuona walichocheza ,timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele,walikuwa wanavizia tu penati ,ila refa kama aliwashtukia mwanzon ,nadhan eng hersi alishampa signal refa kabla.

Hii club africain ni zalan fc iliyochangamka tu ,any way hongeren yanga kwa kutinga shirikisho

Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake.

Mdogo mdogo na nyie mtafika champion league.
Mngewafunga Singida hizo goli 5
 
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.

Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele, walikuwa wanavizia tu penati. Ila Refa kama aliwashtukia mwanzoni, nadhani Eng. Hersi alishampa ishara Refa kabla.

Hii Club Africain ni Zalan FC iliyochangamka tu, hata hivyo hongereni Yanga kwa kutinga Shirikisho.

Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake. Mdogo mdogo na nyie mtafika Champions League.
Uyo Mgunda Hizo goli 5 angewapiga kwanza Azam fc na kisha angewapiga Singida big stars
 
Back
Top Bottom