Simba ya Mgunda ingejipigia Club Africain goli tano bila

Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.

Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele, walikuwa wanavizia tu penati. Ila Refa kama aliwashtukia mwanzoni, nadhani Eng. Hersi alishampa ishara Refa kabla.

Hii Club Africain ni Zalan FC iliyochangamka tu, hata hivyo hongereni Yanga kwa kutinga Shirikisho.

Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake. Mdogo mdogo na nyie mtafika Champions League.
Uwahi leba sasa ujifungue salama mama, maana sio kwa uchungu huo
 
Hii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.

Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele, walikuwa wanavizia tu penati. Ila Refa kama aliwashtukia mwanzoni, nadhani Eng. Hersi alishampa ishara Refa kabla.

Hii Club Africain ni Zalan FC iliyochangamka tu, hata hivyo hongereni Yanga kwa kutinga Shirikisho.

Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake. Mdogo mdogo na nyie mtafika Champions League.
Kweli rage akukosea kuwaita mbumbumbu, kabla ya mechi maneno yalikuwa yanga anaenda kupigwa hamsa na waarabu wakali wakiwa kwao baada ya mechi simba ya mgunda ingejipigia 5, akili zenu ni sawa na inzi wa chooni tu amna tofauti
 
Nadhani Ile ndege kuanguka kule bukoba Wala mihogo wanaweza kuwa chanzo.. wachunguzwe Hawa watu maana hawashindwi kitu
Acha kutumia mitandao vibaya. Ukiitwa uthibitishe hizo tuhuma utaweza kuzithibitisha?
 
Singida iliyo panda daraja ime watoa kamasi. Hadi mmechomoa
 
Back
Top Bottom