Sasa si muwafunge nyie hao yanga.. kila timu inayofungwa na yanga mara mbovu mara gsm wanahonga wakati huo nyie mnakutana na yanga sio chini ya mara 3 kwa msimu mmoja kwanini msiwafunge nyie?Hii timu nilikuwa siielewi kwa nn imefika hapa .mechi iliyopita nilikuwa taifa pale walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe...
Simba walisha pigwa pumbu tiari ila wakachomoa na Singida kwa bahati mbaya ikamwangia nje.Simba hii iliyoponea chupuchupu kupigwa pumbu na Singida, au unazungumzia Simba gani mtoa mada..?
Mngewafunga Singida hizo goli 5Hii timu nilikuwa siielewi kwa nn imefika hapa .mechi iliyopita nilikuwa taifa pale walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.
Na hapa kwao leo sikuona walichocheza ,timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele,walikuwa wanavizia tu penati ,ila refa kama aliwashtukia mwanzon ,nadhan eng hersi alishampa signal refa kabla.
Hii club africain ni zalan fc iliyochangamka tu ,any way hongeren yanga kwa kutinga shirikisho
Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake.
Mdogo mdogo na nyie mtafika champion league.
Simba hii iliyoponea chupuchupu kupigwa pumbu na Singida, au unazungumzia Simba gani mtoa mada..?
Uyo Mgunda Hizo goli 5 angewapiga kwanza Azam fc na kisha angewapiga Singida big starsHii timu nilikuwa siielewi kwanini imefika hapa. Mechi iliyopita nilikuwa taifa pale, walikuwa wamejaza mabeki timu nzima ili wasifungwe.
Na hapa kwao leo sikuona walichocheza, timu inashindwa kupiga hata pasi tano kwenda mbele, walikuwa wanavizia tu penati. Ila Refa kama aliwashtukia mwanzoni, nadhani Eng. Hersi alishampa ishara Refa kabla.
Hii Club Africain ni Zalan FC iliyochangamka tu, hata hivyo hongereni Yanga kwa kutinga Shirikisho.
Wapinzani wenu mnyama mkali yupo kwa mabingwa wenzake. Mdogo mdogo na nyie mtafika Champions League.