Simba ya mwaka huu

Wakati ule game ilikuwa saa 11 ikasogezwa saa mbili mbele upande wa pili wakapata kisingizio wakalala mbele kigezo wanafata kanuni.
Safari hii hawataleta timu hata uwanjani watachimba kimoja,nimekaa pale..
 
Niko na wachina hapa nao wanaikubali sana Simba Taifa kubwa
Nalog off
 
UTARATIBU WA KUCHANGIA KESI YA KIZALENDO DHIDI YA SERIKALI JUU YA UUZWAJI WA BANDARI ZA TANGANYIKA:


NMB: 24710018584
JINA: ALPHONCE LUSAKO MWAMWILE


TIGO PESA: +255718760649
JINA: LUSAKO MWAMWILE


UMOJA NI NGUVU


UPENDO NI KUFAANA.
Hakuna mtu anachanga, acheni ujinga. Kama mmeamua kufungua kesi, pambaneni kizalendo. Msitafute kichaka cha kufanyia fundraising za kipumbavu. Hii nchi ya kijinga sana, wazalendo hawawezi kufanya uzalendo bila kuwa na hidden agenda zao. Upuuzi kabisa
 
Kwa hii iliyojaza wachezaji rejected,ikiwemo kipa muuza matunda wa daraja la nne Brazil,ikijitahidi itaishia nafasi ya nne
 
Tutakutana hapa mwisho wa msimu. Jifunze kuhifadhi ulimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…