Ezrah Tossi tz
New Member
- Apr 1, 2020
- 4
- 3
Wataelewa shoooooo maana kumewaka kambini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani hao wakuielewa shoo🤔.Sasa jiandae mnaofikiri watawaeleweni watawagaragaza kote kote,ndani,nje,kirafiki,kijamii na kimafanikio,na hata kimataifa.Mwananchi juu juu juuuu zaidi 😂🤸🤸🤸Wataelewa shoooooo maana kumewaka kambini View attachment 2699530
Nafikiri,hao watakimbia siku wakikutana na mahasimu wao🤔Kule camp unapigwa mpira wa kasi sana. Unaweza kukimbiza timu uwanjani
Ndo Habari zinazouzaJournalists..View attachment 2699793
Atletico De Uto akingiia kichwa kichwa ataoga mvua ya magoli hapa.Wataelewa shoooooo maana kumewaka kambini View attachment 2699530
Journalists..tView attachment 2699793
Tupo serous na mambo ya hovyo na sio mambo ya msingi.Journalists..View attachment 2699793
Hakuna mtu anachanga, acheni ujinga. Kama mmeamua kufungua kesi, pambaneni kizalendo. Msitafute kichaka cha kufanyia fundraising za kipumbavu. Hii nchi ya kijinga sana, wazalendo hawawezi kufanya uzalendo bila kuwa na hidden agenda zao. Upuuzi kabisaUTARATIBU WA KUCHANGIA KESI YA KIZALENDO DHIDI YA SERIKALI JUU YA UUZWAJI WA BANDARI ZA TANGANYIKA:
NMB: 24710018584
JINA: ALPHONCE LUSAKO MWAMWILE
TIGO PESA: +255718760649
JINA: LUSAKO MWAMWILE
UMOJA NI NGUVU
UPENDO NI KUFAANA.
Hizo ni tabia za wana🦁.Bila kuleta Mdhungu hata hawaridhiki🤸🤸🤸Journalists..View attachment 2699793
Nikawaida yenu kukoka myoto,Wataelewa shoooooo maana kumewaka kambini View attachment 2699530