Simba ya mwaka kesho sijui

Simba ya mwaka kesho sijui

Wachezaji hata hawajacheza mechi moja umeshaaanza kukata tamaa...

Usajili ni kama kamari mchezaji anaweza akaperform au lah...

Tuwape muda... Tuache kulalalamika ikiwa hata pre season bado... Ligi ikishachanganya ndio tutajua mbivu na mbichi...
 
Misimu yote ambayo tulisajili na watu wakafurahi sana kiasi cha kuweka matarajio makubwa basi tuliangukia pua huko kimataifa.

Ule msimu tumesajili akina Shiboub Simba sc ilionekana tishio lakin tulitolewa na akina UD SONGO, haya huu wa mwaka jana tulileta rundo la wachezaji na kila mtu akafurahi lakini matokeo yake kila mtu anayajua baada ya kuondoshwa na akina Jwaneng na ligi kuu ndo ikawa hivyo.

Me mpaka sasa sijaona sehemu ambapo Simba Sc imekosea kusajili kutokana na maingizo yake mapya (kama yote yatatimia kama zilivyo tetesi), kwasababu sehemu pekee iliyofanya team yetu ionekane mbaya msimu uliopita imerekebishwa, namaanisha (ushambuliaji na kiungo).

Simba hakuwa mbaya kiasi hicho, kama jinsi mnavyotaka kuikuza, kufeli kwa simba Sc msimu uliopita ni kukosa washambuliaji wa kumalizia nafasi zilizotengenezwa.
 
Sawa umefanya jambo jema sana, bora wewe umejitengenezia mazingira ya kujiandaa na saikolojia yako mapema maana kila mtu anaa uwezo wake kuhimili jambo.. hongera sana kwa akili hiyo
 
Usiwe na wasiwasi Simba ipo vizuri,nani hapo hajakamilika?

1.Manula
2.Shabalala
3.Kapombe
4.Inonga
5.Onyango
6.Sakho
7.Banda
8. Mkude
9.Chama
10.Phiri
11.Kagere

Kwenye hiyo list unayemwona dhaifu mchomoe mweke sub , na bado hawajatangaza wengine wa kimataifa waliosajiliwa.

Sina wasiwasi kabisa
 
Misimu yote ambayo tulisajili na watu wakafurahi sana kiasi cha kuweka matarajio makubwa basi tuliangukia pua huko kimataifa.

Ule msimu tumesajili akina Shiboub Simba sc ilionekana tishio lakin tulitolewa na akina UD SONGO, haya huu wa mwaka jana tulileta rundo la wachezaji na kila mtu akafurahi lakini matokeo yake kila mtu anayajua baada ya kuondoshwa na akina Jwaneng na ligi kuu ndo ikawa hivyo.

Me mpaka sasa sijaona sehemu ambapo Simba Sc imekosea kusajili kutokana na maingizo yake mapya (kama yote yatatimia kama zilivyo tetesi), kwasababu sehemu pekee iliyofanya team yetu ionekane mbaya msimu uliopita imerekebishwa, namaanisha (ushambuliaji na kiungo).

Simba hakuwa mbaya kiasi hicho, kama jinsi mnavyotaka kuikuza, kufeli kwa simba Sc msimu uliopita ni kukosa washambuliaji wa kumalizia nafasi zilizotengenezwa.
Ukweli mtupu uliongea shida watu hawana dogo wala kubwa

Na ni ngum Sana kufuata watu wanacho kitaka
 
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Utajua tu,nyie si mna huyo mbeba maboksi wenu? Tutaelewana.
 
👇😁😁😁
 
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Mnamnangia CEO wake.
 
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?

Ili mabadiliko yaje Simba inabidi ishuke daraja. Kwa mtindo watawachezea na kuwafanya mashabiki wa Simba vilaza. Yanga wanachukua the best players sisi tunachukua available players. Yani Simba imebakiza msimu mmoja ipotee Moja kwa moja.
 
Usiwe na wasiwasi Simba ipo vizuri,nani hapo hajakamilika?

1.Manula
2.Shabalala
3.Kapombe
4.Inonga
5.Onyango
6.Sakho
7.Banda
8. Mkude
9.Chama
10.Phiri
11.Kagere

Kwenye hiyo list unayemwona dhaifu mchomoe mweke sub , na bado hawajatangaza wengine wa kimataifa waliosajiliwa.

Sina wasiwasi kabisa

Bado mnahamu na kagere? Kweli Simba ilishakwisha. Yani Simba bado inamkumbatia Kagere, boko na Mugalu. Msimu ujao hata makundi Simba haitafika. Tuiache Yanga ambayo ipo serious.
 
Back
Top Bottom