Simba ya mwaka kesho sijui

Simba ya mwaka kesho sijui

Yaani wachezaji wa yanga wanaokuja bure wengine kwa mkopo kutoka tp mazembe ndo yanga mnajiona mnatimu ya kucheza na red arrows kwani CAF champion's league ni mbali tutaona hzo kelele zenu.
 
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Kwanza rekebisha ni usajili si usajiri. Simba alieondoka ni bwalya morison na wawa tu, sasa sijui hawa ndio waliotufanya tufike robo fainali
 
Binafsi natamani Simba ifanye.vibaya ili mashabiki tuongee lugha moja maana naona kwa sasa hatuelewani bado kuna mashabiki wajinga wajinga wanaukubali uongozi uliopo ingawa wamethibitisha ni wababaishaji wakubwa.

Wamelenga kupata vijihela vya app lakini hawataki udhamini wa billion 40 za Azam.
Wanatutapeli sisi eti Afrika itasimama kwa kusajili wachezaji wa Coastal na Mbeya Kwanza?!!!
 
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Utajuaje na wewe kibuyu tu?
 
Misimu yote ambayo tulisajili na watu wakafurahi sana kiasi cha kuweka matarajio makubwa basi tuliangukia pua huko kimataifa.

Ule msimu tumesajili akina Shiboub Simba sc ilionekana tishio lakin tulitolewa na akina UD SONGO, haya huu wa mwaka jana tulileta rundo la wachezaji na kila mtu akafurahi lakini matokeo yake kila mtu anayajua baada ya kuondoshwa na akina Jwaneng na ligi kuu ndo ikawa hivyo.

Me mpaka sasa sijaona sehemu ambapo Simba Sc imekosea kusajili kutokana na maingizo yake mapya (kama yote yatatimia kama zilivyo tetesi), kwasababu sehemu pekee iliyofanya team yetu ionekane mbaya msimu uliopita imerekebishwa, namaanisha (ushambuliaji na kiungo).

Simba hakuwa mbaya kiasi hicho, kama jinsi mnavyotaka kuikuza, kufeli kwa simba Sc msimu uliopita ni kukosa washambuliaji wa kumalizia nafasi zilizotengenezwa.
Umeongea kiufundi zaidi na sio kishabiki, kiufupi simba haihitaji usajili mkubwa sana zaidi ya kuboresha maeneo ambayo msimu ulioisha tulifeli ambao ni eneo la kiungo na eneo la ushambuliaji ambao binafsi naona wameshafanyia kazi katika usajiri
 
Back
Top Bottom