Mwaka kesho upi? Wakati msimu unaanza mwezi wa 8 mwaka huuNikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Ukweli mtupu uliongea shida watu hawana dogo wala kubwaMisimu yote ambayo tulisajili na watu wakafurahi sana kiasi cha kuweka matarajio makubwa basi tuliangukia pua huko kimataifa.
Ule msimu tumesajili akina Shiboub Simba sc ilionekana tishio lakin tulitolewa na akina UD SONGO, haya huu wa mwaka jana tulileta rundo la wachezaji na kila mtu akafurahi lakini matokeo yake kila mtu anayajua baada ya kuondoshwa na akina Jwaneng na ligi kuu ndo ikawa hivyo.
Me mpaka sasa sijaona sehemu ambapo Simba Sc imekosea kusajili kutokana na maingizo yake mapya (kama yote yatatimia kama zilivyo tetesi), kwasababu sehemu pekee iliyofanya team yetu ionekane mbaya msimu uliopita imerekebishwa, namaanisha (ushambuliaji na kiungo).
Simba hakuwa mbaya kiasi hicho, kama jinsi mnavyotaka kuikuza, kufeli kwa simba Sc msimu uliopita ni kukosa washambuliaji wa kumalizia nafasi zilizotengenezwa.
Sahihi kabisaMe mpaka sasa sijaona sehemu ambapo Simba Sc imekosea kusajili kutokana na maingizo yake mapya (kama yote yatatimia kama zilivyo tetesi), kwasababu sehemu pekee iliyofanya team yetu ionekane mbaya msimu uliopita imerekebishwa, namaanisha (ushambuliaji na kiungo).
Utajua tu,nyie si mna huyo mbeba maboksi wenu? Tutaelewana.Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Mnamnangia CEO wake.Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Nikiangalia jinsi usajiri wa mwaka huu naona kama hata hiyo robo fainal km hatutoikanyaga mn naona kuanzia uongozi mpk mashabiki km hatuna raha kbs na usajiri huu cjui muhindi kachomoa betri?
Mnamnangia CEO wake.
Usiwe na wasiwasi Simba ipo vizuri,nani hapo hajakamilika?
1.Manula
2.Shabalala
3.Kapombe
4.Inonga
5.Onyango
6.Sakho
7.Banda
8. Mkude
9.Chama
10.Phiri
11.Kagere
Kwenye hiyo list unayemwona dhaifu mchomoe mweke sub , na bado hawajatangaza wengine wa kimataifa waliosajiliwa.
Sina wasiwasi kabisa