NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
ILA RANGI ZA JEZI ZINAWAATHIRI.yanga ni timu ya mpira na ccm ni chama cha siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ILA RANGI ZA JEZI ZINAWAATHIRI.yanga ni timu ya mpira na ccm ni chama cha siasa
Embu nifafanulie mwalimu wanguTatizo hapa ni shule. Ile ni mechi ya kimashindano siyo bonanza. Rudi darasani uelimishwe bonanza ni nn??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mna matatizo gani?
huwaga naona nipo sahihi sana kuwafananisha mashabiki wa yanga na wanachama wa CCM,tofauti yenu siioni..
Vise-versa is true. Simba day ni bonanza 100%Hivi kotoko na simba ndo kombe LA shrikisho na Yanga na waarabu ndo bonanza.Mi mshamba nifafanulie ndau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora nishabikie REDE ntaona hata vichupi kuliko kuishabikia YANGA. Watanyooka tu malipo yote ni hapa hapa.