Simba yaahirisha safari ya Marekani kwa sababu kuna joto yaenda SA kwenye baridi

Mbona kuna state zingine ni baridi? Hao wamenyimwa tu visa.
 
Kanjibhai kagoma hataki hasara wakati mzee Kilomoni anakaribia kumnyang'anya timu
Mkuu wale waliotuahidi kuwa timu itaenda china alafu wameenda bigwa morogoro wenyewe nani kagoma na nani kawanyang'anya timu??? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Zoto Hilo Waliogopa Hawa Wa Matopeni Ni Degree Ngapi Huko Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…