Simba yaahirisha safari ya Marekani kwa sababu kuna joto yaenda SA kwenye baridi

Simba yaahirisha safari ya Marekani kwa sababu kuna joto yaenda SA kwenye baridi

Mbona kuna state zingine ni baridi? Hao wamenyimwa tu visa.
 
Kanjibhai kagoma hataki hasara wakati mzee Kilomoni anakaribia kumnyang'anya timu
Mkuu wale waliotuahidi kuwa timu itaenda china alafu wameenda bigwa morogoro wenyewe nani kagoma na nani kawanyang'anya timu??? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Sisi tupo kwa babu uku morogoro
Tumekuja kutengenezwa!

Tukutane wiki la mwananchi
cc Shadeeya

IMG_20190718_143211_093.JPG
 
Back
Top Bottom