Simba yaanzisha mashindano mapya

Sisi wenye vibanda vya kuonyesha mpira tunafarahi mana tutaingiza mapato

Najiuliza tu, hivi siku simba alitolewa kabla ya kuingia makundi ataandaa hii ligi ya timu tatu?
 
Kitu kama hicho kipo hata kabla ya haya maahindano ya chan yanayoendelea kulikuwa na utaratibu kama huu kwa timu mwenyeji ilialika baadhi ya nchi.
Utopolo hawawezi kutupa kitu cha ziada kwani aifa ni timu inayoshiriki klabu bingwa afrika wao watafute timu zilizoshinda makombe yanayofanana na mapinduzi wacheze nazo
 
Ligi ya timu tatu! Mayooooo!
Swali la kizushi vipi mnawaogopa Yanga mbona hamjamwalika mtani?
 
Mimi ni Simba damu, ila huyu gabachori anapotupeleka siyo jamani.
 
...hayo mashindano mapya mshindi anapewa zawadi gani?
 
Sisi wenye vibanda vya kuonyesha mpira tunafarahi mana tutaingiza mapato

Najiuliza tu, hivi siku simba alitolewa kabla ya kuingia makundi ataandaa hii ligi ya timu tatu?
Msimu uliopita Simba alipotolewa na UD Songo waVIBANDA UMIZA waliumia sana.
 

Ukisikia maana halisi ya Wakimataifa.

Simba tunaendesha mambo yetu kisasa zaidi, tunategemea baada ya miaka miwili ijayo tuongoze kwa viwango barani Africa kwa level za Vilabu πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

Karibu Uwanja wa Taifa upate burudani ya Soka murua/soka la viwango kutoka Msimbazi.

Simba Nguvu Moja πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Ligi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.
Unashangaa logical ya timu tatu, watu tumeona ya timu mbili.
Wewe hujashuhudia au kushiriki ya timu mbili?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] Tembea uone.
 
Super cup ya yanga aka Deportive de utopolo;
1) Kemondo Fc
2)Abajalo Fc ya Sinza
3) Kiluvya United ya Pwani
4) Kakamega Home boys
5)Ahsante Baba Fc..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…