Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya league ? Utopolo sio level ya simba. Hiyo ni ligi ya klabu za level moja.Ligi ya timu tatu! Mayooooo!
Swali la kizushi vipi mnawaogopa Yanga mbona hamjamwalika mtani?
watani sio mabingwa. hii ni super cup mkuuWamewasahau watani jamami kwani wangekataa.
Nini maana ya ligi?Ligi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.
Hapana kundi la simba ni kama ifuatavyo
1.Simba
2.Tukuyu Stars
3.Sigara
4.MAJI MAJI
[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana kundi la simba ni kama ifuatavyo
1.Simba
2.Tukuyu Stars
3.Sigara
4.MAJI MAJI
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nini maana ya ligi?
Tatizo nini kwani?Mimi ni Simba damu, ila huyu gabachori anapotupeleka siyo jamani.
Akiwemo Yanga na Mwadui nae atahitaji kuwemo sababu ni level moja wote hao.Ligi ya timu tatu! Mayooooo!
Swali la kizushi vipi mnawaogopa Yanga mbona hamjamwalika mtani?
Msimu uliopita Simba alipotolewa na UD Songo waVIBANDA UMIZA waliumia sana.Sisi wenye vibanda vya kuonyesha mpira tunafarahi mana tutaingiza mapato
Najiuliza tu, hivi siku simba alitolewa kabla ya kuingia makundi ataandaa hii ligi ya timu tatu?
Unashangaa logical ya timu tatu, watu tumeona ya timu mbili.Ligi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.
Rudi tenaWazee wa kukuripuka...!!View attachment 1683676