breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
kwani kama ungemjibu vizuri ungepungukiwa nn?Hapana kundi la simba ni kama ifuatavyo
1.Simba
2.Tukuyu Stars
3.Sigara
4.MAJI MAJI
Wamewaletea kitu tofautiLigi timu 3 ndiyo mara ya 1 kusikia tangu nizaliwe. Kweli mwaka huu 2taona mengi.
Itakuwa bonanza mashindano gani ya siku tatuKlabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo yatazishirikisha timu za TP Mazembe ya Congo na Al Hilal ya Sudan na yanatarajiwa kuanza tarehe 27 mpaka 31 mwezi huu.
Hilo likiwa bonanza Mapinduzi utaitajeSi
Itakuwa bonanza mashindano gani ya siku tatu
Naona malalamiko fc mnaendelea kulalamika mpaka kwenye hili.Wazee wa kukuripuka...!!View attachment 1683676
Lengo la Simba Super Cup unalielewa lakini?Kweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
Aibu ya Zanzibar bado haijaishaWamewasahau watani jamami kwani wangekataa.
Wewe ni Nguruwe pori sio SimbaMimi ni Simba damu, ila huyu gabachori anapotupeleka siyo jamani.
Hueleweki hata umeandika nini, poleKweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
Unajua binadamu uelewa wetu basi tu. Aweke b20 kwa nani afanye nn, chukulia mo katapeli wanasimba halafu mwana yanga unaumia nini.Kweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
Ubunifu mkubwa wa utopolo ni kujenga urafiki na timu wapinzani wa simba kimataifa, walianza na sevilla baadaye wakahamia kwa as vitaJamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa sasa ni juu ya maandalizi basi ndo lengo mama. Kupata pesa ni ziada tu ndo maana aliulizwa swali juu ya timu kama haitafuzu club bingwa uliona kabisa Majibu yalionesha hakujiandaa na jibu lake. Kikubwa waangalie jinsi ya kuyaboresha kwa sasa muda ni mchache.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa utopolo wasikuumize kichwa, washamba tu. Ulaya kuna mashindao kibao ya aina hii. Kuna:-Jamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa sasa ni juu ya maandalizi basi ndo lengo mama. Kupata pesa ni ziada tu ndo maana aliulizwa swali juu ya timu kama haitafuzu club bingwa uliona kabisa Majibu yalionesha hakujiandaa na jibu lake. Kikubwa waangalie jinsi ya kuyaboresha kwa sasa muda ni mchache.
Hamna ubunifu hapo wamwcopy na kupaste tuu. Haya mashindano yalishafanyikaga nakumbu azam fc waendaga congo na mwaka uliofuata waenda zambiaNi moja ya ubunifu wao,wapewe ushirikiano!
Kocha you wewe? Unaishi sayari ganiNi wazo jema kwa kuwa simba itacheza na wakubwa wenzake.
Lengo ni kuwatest wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba, pia kumpa nafasi kocha mpya wa Simba kuwajua wachezaji kabla michezo ya CAF
Hatuna Yanga day wewe hebu wacha urongo wako Mara moja.Najua mtakuja kuiga, simba day nayo mlitukana matokeo yake mna yanga day saivi !!