Simba yaanzisha mashindano mapya

Simba yaanzisha mashindano mapya

Si
Klabu ya Simba ya Tanzania imeanzisha mashindano mapya ambayo yatajulikana kama Simba Super Cup, Akizungumza na vyombo vya habari CEO wa timu hiyo Barbara Gonzalez amesema mashindano hayo yatazishirikisha timu za TP Mazembe ya Congo na Al Hilal ya Sudan na yanatarajiwa kuanza tarehe 27 mpaka 31 mwezi huu.
Itakuwa bonanza mashindano gani ya siku tatu
 
Kweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
 
Lengo la Simba Super Cup unalielewa lakini?
 
Kweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
Hueleweki hata umeandika nini, pole
 
Jamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa sasa ni juu ya maandalizi basi ndo lengo mama. Kupata pesa ni ziada tu ndo maana aliulizwa swali juu ya timu kama haitafuzu club bingwa uliona kabisa Majibu yalionesha hakujiandaa na jibu lake. Kikubwa waangalie jinsi ya kuyaboresha kwa sasa muda ni mchache.
 
Kweli gabacholi kawashika pabaya hivi unadhani kwa ya kawaida simba itakuja kuongoza kwa viwango Afrika badala ya kupunguza zike tanotano unafikiria mambo ya ajabu hivi ligi ta timu tatu ndio kuendesha mambo kisasa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi alikimbia simba mwambie Mo aweke zike b20 ahadi ni deni
Unajua binadamu uelewa wetu basi tu. Aweke b20 kwa nani afanye nn, chukulia mo katapeli wanasimba halafu mwana yanga unaumia nini.
 
Jamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa sasa ni juu ya maandalizi basi ndo lengo mama. Kupata pesa ni ziada tu ndo maana aliulizwa swali juu ya timu kama haitafuzu club bingwa uliona kabisa Majibu yalionesha hakujiandaa na jibu lake. Kikubwa waangalie jinsi ya kuyaboresha kwa sasa muda ni mchache.
Ubunifu mkubwa wa utopolo ni kujenga urafiki na timu wapinzani wa simba kimataifa, walianza na sevilla baadaye wakahamia kwa as vita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani mtu akibuni kitu kizuri mpongeze, Luna watu wanashangaa ligi ya timu tatu inaonesha si Mdau wa mpira Bali ushabiki wa simba na yanga ndo unawatesa. Tambua kwanza lengo mahususi la simba super cup ndo uanze kutoa povu. Jana msemaji wa timu kasisitiza sana juu lengo mahususi ya hili kwa sasa ni juu ya maandalizi basi ndo lengo mama. Kupata pesa ni ziada tu ndo maana aliulizwa swali juu ya timu kama haitafuzu club bingwa uliona kabisa Majibu yalionesha hakujiandaa na jibu lake. Kikubwa waangalie jinsi ya kuyaboresha kwa sasa muda ni mchache.
Hawa utopolo wasikuumize kichwa, washamba tu. Ulaya kuna mashindao kibao ya aina hii. Kuna:-
Audi Cup linwashirikisha Barcelona, Ac Milan na Bayern Munich.
Emirates cup linawashirikisha Arsenal, New York Red bull, PSG na Boca Juniors. Africa Kusini kuna Vodacom Challenge Cup linawashirikisha Kaizer Chiefs, Orlando Pirates na Tottenham Hotspur.
Marekani kuna MLS All Stars vs Manchester United. Tena ni mechi moja tu, na kombe linatolewa siku hiyo hiyo.
Kinachowatesa hawa nyani ni wivu tu, hakuna lolote. Badala ya kwenda kununua kalenda zao. Wanafuatilia mambo yasiyowahusu.
Ni kuwapuuza tu, hawa masikini wa akili.
 
Wazee wa kukurupuka hata TFF hawana Habari maana mtaona aibu mkipigwa stop mtu ukishabikia Mbumbumbu/Bodaboda/Mikia FC akili inahama mwambie mo aweke b20 zinatakiwa hivi hujiulizi kwanini Nkwabi aliachia ngazi
 
Ni wazo jema kwa kuwa simba itacheza na wakubwa wenzake.

Lengo ni kuwatest wachezaji wapya waliosajiliwa na Simba, pia kumpa nafasi kocha mpya wa Simba kuwajua wachezaji kabla michezo ya CAF
Kocha you wewe? Unaishi sayari gani
 
Mwanzo mzuri,
Nasikia bingwa wa SIMBA SUPER CUP anapata kombe jipya pamoja na milioni 200.
 
Back
Top Bottom