Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Wamemnunua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamemnunua?
Kwani huyu mbeba maboksi mumemnunua bei gani? Msomali anawafanya mabwege kweli nyie nyani wa pori la UtopoloSimba SC a.k.a Kolowizard wamechooooka mbaya, yaani wao kazi Ni kuvizia vya bure
Mkuu kwa kuwa Na wewe huelewi ngoja tukueleweshe CAF huwa wanatoa rank zao au update kila mashindano Yao yanapoisha yaani kila mwaka ndo maana msimu Jana Simba ilikuwa ya 12 Na msimu huu wametoa ni ya 14 Sasa ukiangalia kwa misimu mitano iliyopita yanga haijafanya vizur kumshinda namungo ndo maana unaona hizo points Na rank zake yanga alienda akatolewa raund ya Kwanza kabisa lkn ukiangalia namungo alifika makundi akiwa Na nkana, pyramid,raja cansablankaImagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Mkuu kwa kuwa Na wewe huelewi ngoja tukueleweshe CAF huwa wanatoa rank zao au update kila mashindano Yao yanapoisha yaani kila mwaka ndo maana msimu Jana Simba ilikuwa ya 12 Na msimu huu wametoa ni ya 14 Sasa ukiangalia kwa misimu mitano iliyopita yanga haijafanya vizur kumshinda namungo ndo maana unaona hizo points Na rank zake yanga alienda akatolewa raund ya Kwanza kabisa lkn ukiangalia namungo alifika makundi akiwa Na nkana, pyramid,raja cansablanka
Wamemnunua?
We boya huwa unajifanya unajua kila kitu kumbe mweupe tu, Aziz Ki alisaini mkataba wa miaka miwili pale ASEC na huu ndo ulikuwa mwaka aake wa mwisho, kwahiyo ni free agent kama mlivyomsajili Morrison (hakuna mkatava wowote uliovunjwa)Hapana wamepewa bure.
Asec Mimosas huwa hawauzagi wachezaji wao yaani wao wanatoaga bure tu.
[emoji23]