Simba yadaiwa kutaka kumrejesha Kichuya

Simba SC a.k.a Kolowizard wamechooooka mbaya, yaani wao kazi Ni kuvizia vya bure
Kwani huyu mbeba maboksi mumemnunua bei gani? Msomali anawafanya mabwege kweli nyie nyani wa pori la Utopolo
Your browser is not able to display this video.
 
Imagine serikkali inatenga budget kuhesabu majiitu majinga kama hili! kwahio unataka kuniambia Yanga iliyo ingia makundi CAF confederation inazidiwa na Namungo iliyo ingia mara moja?
Mkuu kwa kuwa Na wewe huelewi ngoja tukueleweshe CAF huwa wanatoa rank zao au update kila mashindano Yao yanapoisha yaani kila mwaka ndo maana msimu Jana Simba ilikuwa ya 12 Na msimu huu wametoa ni ya 14 Sasa ukiangalia kwa misimu mitano iliyopita yanga haijafanya vizur kumshinda namungo ndo maana unaona hizo points Na rank zake yanga alienda akatolewa raund ya Kwanza kabisa lkn ukiangalia namungo alifika makundi akiwa Na nkana, pyramid,raja cansablanka
 

Acha uongo.

Natumai una orodha zote mbili za mwaka jana na mwaka huu.

Kama kweli tuwekee orodha hapa
 
Hapana wamepewa bure.

Asec Mimosas huwa hawauzagi wachezaji wao yaani wao wanatoaga bure tu.

[emoji23]
We boya huwa unajifanya unajua kila kitu kumbe mweupe tu, Aziz Ki alisaini mkataba wa miaka miwili pale ASEC na huu ndo ulikuwa mwaka aake wa mwisho, kwahiyo ni free agent kama mlivyomsajili Morrison (hakuna mkatava wowote uliovunjwa)

Morisson - free agent
Bigirimana - free agent
Kambole - free agent
Joyce- free agent

Hebu nionyeshe mchezaji wa kimataifa ambaye kanunuliwa kuja yanga kwa kuvinjiwa mkataba, akiwa bado anahitajika na club aliyotoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…