Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

Huwezi kumuacha mtu kama huyu kisa amesema ni utani... Simba watajuaje ni utani?
Kama hana kosa mamlaka zitasema, ila ni funzo pia kwa wajinga type hii.
 
Mfano wako si sahihi.

Ungeuliza mtu "akisema ataua" je atachukuliwa amekosea pale utakapokuja ushahidi baada ya kuua?

Kutishia kuua ni kosa na kuua pia ni kosa kubwa zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndio maana mnaitwa utopolo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama alishasema mapema kuwa hakuna kiongozi yeyote wa Yanga aliyemwendea...video hiyo ipo...ila pamoja na hayo huyo Mwakalebela dah..amejiabisha sana...viatu vya Yanga havimtoshi kabisa...Halafu Hawa Simba nao issue ya Mwakalebela itaibua mengi...Nafahamu kuwa Kuna watu wa Yanga wanacho kitu na ambacho Kama watakiweka hadharani ardhi itapasuka kwa hakika...tusubiri tuone ...
 
Ushahidi zaidi ya uongozi kukiri hadharani kuwa umeongea na mchezaji?

Yanga ni watani wa Simba,lakini linapokuja suala la njama ziwe za ukweli ama uongo zinazoweza kuharibu taswira ya mchezaji kwa club yake,ni hatari sana na inaeweza kumuathiri kisaikolojia mchezaji anayezushiwa,hata akafanya vibaya.

Nitashangaa iwapo TFF italichukulia poa,na Simba wakaacha kulikatia rufaa.

Hapa inabidi ichukuliwe adhabu kali sana kwa ujinga huu wa kishamba ambao unafanywa na watu wasio na weledi wa mpira na kuungwa mkono na mashabiki maandazi wanaopenda rangi zaidi ya mpira wenyewe
Utaleta ushahidi uliokamilika kuthibitisha kuwa Mwakalebela amezungumza na Chama kuhusu uhamisho, bilashaka ushahidi wako utaonyesha tarehe, mahali, muda na njia ya mawasialiano iliyotumika (face to face, letter, phone, whatsApp, email, etc)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa TFF kadi yake ya uanachama ni namba ngapi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kumuacha mtu kama huyu kisa amesema ni utani... Simba watajuaje ni utani?
Kama hana kosa mamlaka zitasema, ila ni funzo pia kwa wajinga type hii.
Mmepaniki wazee! Mwakalebela aliteleza mdomo na alishaomba msamaha! Chama mwenyewe amesema hakufanya mazungumzo na kiongozi yeyote wa Yanga! Mnataka ushahidi gani tena kwamba hakuna mazungumzo yaliyofanyika dhidi ya Chama? Mswahili ukimuomba msamaha ndio umemtia ndimu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaleta ushahidi uliokamilika kuthibitisha kuwa Mwakalebela amezungumza na Chama kuhusu uhamisho, bilashaka ushahidi wako utaonyesha tarehe, mahali, muda na njia ya mawasialiano iliyotumika (face to face, letter, phone, whatsApp, email, etc)
We unadhani Simba SC haina wanasheria?
 
Utani sio sehemu mojawapo katika katiba ya TFF.
.
Utani wa Simba na Yanga imekuwa sehemu ya utamaduni wetu ila sio utani uliovuka mipaka kama wa Jimmy Kindoki kumchezea kamari mke wake na wa Mwakalebela.
Jimmy Kindoki alikuwa anaweza kushtakiwa na WLAC kwa kutweza utu wa mwanamke na Mwakalebela amevunja katiba ya TFF mpaka pale itakapo thibitishwa vinginevyo.
.
Kuna Club mbili duniani ni watani kuliko utani wa club yeyote duniani ziko Argentina Boca Junior na River Plate hizi utani wao umefikia hadi kwenye kuuana, kubaka, na kuharibu mali za raia na umma. Na walianza hivihivi
 
TFF itathibitisha
 
Maumivu ya siku ya wanawake duniani, bado yanasumbua wengi. Morrison alifanya kitu mbaya.
 
Kanuni zinambana Chama vile vile. Kama kweli yalikuwepo mazungumzo na hakusema,basi kifungo miezi sita na faini juu ni haki yake.

Lakini Chama akikana na atakana tu, bado la Mwakakebela ni la kuvunda. Kusema uongo wa aina hiyo kuna adhabu yake.

Huko tuendako ni vyema Haji akawa makini sana. Kauli nyingi za kuidhalilisha Yanga zitamtokea puani maana utani haupo tena.
 
Nacheka tu!

De la boss Alim wish happy birthday Tshishimbi tu,Yanga yote ili panic!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nacheka tu!

De la boss Alim wish happy birthday Tshishimbi tu,Yanga yote ili panic!

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mwambieni Haji.

De la boss inamhusu mwanamke.Del boss ni kwa mwanaume.

Unakumbuka ile aliyosema ni zamu ya Simba kufuatia magoli mengi hewa ya offside? Ni vitu kama hivyo. Ataropoka tu.
 
Twamo
Acheni kamati ifanye kazi yake.. Hz habari za kuomba msamaha haziondoi shitaka.
Kama ni uongo atabaki huru, shida iko wapi?...
 
Sasa wewe uoni hiki walichokifanya mikia ndio tunaelekea huko kwa boca na river plate,maana manara ndio anaongoza kuikashifu Yanga kwa utani,sasa watu wanamlia timing tu,maana mpira si uadui mikia mnakoelekea mnavunja maana ya utani,kule insta kuna siku alipost kikosi chenu cha msimu ujao ndani yake kulikua na shishimbi na lamine,mwakalebela alipoingia kwenye huu manara kaifuta ile post yake japo aliipost kitambo then akakomalia issue ya mwakalebela,watu wanamsubiria tu,ipo siku ataingia cha kike kuizungumzia Yanga
 
Kwanini utopolo hamkwenda kumshitaki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…