kavulata,
Ungejuwa umebobea kwenye mambo ya biashara na brand ungeelewa kwanini Simba wamemshtak TFF. We huoni hata ulaya vilabu vinahizuia kumuongelea tu kwenye media kuwa wanamtaka mchezaj flan achilia mbal kusema kuwa tushaongea nae na kumalizana nae sababu wanajua implication zake katika maswala ya kibiashara. Fred kama kiongoz kauli yake ni kauli ya Yanga, hakuwa professional.
Umeaza kiu Simba na Yanga zaidi ukiwaza kibiashara ungejua kwa nini ni tatizo.
Sent from my iPhone using JamiiForums