Simba yaelekea kupata aibu kwa Mwakalebela

Mgombea ubunge wa CCM Iringa Mjini huyo 2015.
 
Ninabisha kwani ile siku ya utani duniani fool's day huwa Kuna mipaka ya kusema uongo?

Wewe unatoa mfano wa maRais kwenye nchi zisizo na demokrasia ya kutosha. Hapa kwetu wacha Mwakalebela hata Rais huwa anatania watu anaoweza kuwatania na haimuondolei urais wake na aliyetaniwa huwa anakenua tu Kama hacheki.
 
Chama na wakala wake wameshakanusha kuongea na Lebela!
 
Hizi timu mbili zishazoeshana huu ujinga so kama ni hivyo Simba hawakupaswa kufanya hivyo. Ni Mara ngapi Manara akiwa anaongelea mambo ya simba anaiponda yanga waziwazi na kuwadhihaki wachezaji wa yanga waziwazi na bado yanga wanakausha tu?. Sasa naamini hili litapita na Mwakalebela atashinda ila kitachofuata hapo Simba wataingia matatani kwa mambo hayohayo muda si mrefu mana wao ndio vinara we hizi ishu
 
Hahaaaaa natamani nicheke ila ukiona mtu mzima amechuchumaa ujue kaona aibu yupo uchi.

Mtasubiria sana watani maana hata barua yenu mliyopeleka FIFA sijui iliishia wapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umedandia treni kwa mbele kitachofataa.....[emoji2]. Ni kwamba kupitia redio mwakalebela yeye alisema ameongea na chama na amehakikishiwa kuwa chama atasaini yanga msimu ukiisha. Baada ya maneno Yale simba wakaja juu na kusema watamshitaki mwakalebela TFF kwa kitendo cha kuongea na mchezaji wao ilihali angali na mkataba wa miaka miwili.

Baada ya kusikia hivyo, Mwakalebela akajitokeza na kuomba msamaha kwa kauli ile huku akisema kiukweli hakuongea na chama na aliongea hivyo katika utani tu kwa sababu simba na yanga ni watani. Na akaahidi kutorudia tena. Mchezaji alipoulizwa juu ya hilo akakanusha kuwa hajawahi ongea na mwakalebela,hata wakala wa mchezaji nae akakataa.

Pamoja na mwakalebela kuomba radhi na kuahidi kutorudia kosa la kusema hivyo japo hakuongea kweli na mchezaji au wakala, bado Simba wakampeleleka mwakalebela TFF. Mi nadhani walivyomjambisha tu hadi akaomba radhi ilitosha sasa walivyoenda tff ni kukosa ukomavu,na ninaamini Simba wao ndio wanaoongoza ktk mambo kama hayo, hivyo tutegemee visasi na Simba hawata survive ktk hili japo Mwakalebela atashinda kesibyake tena kiurahisi tu
 
sasa ushahidi unataka wakupe wewe??..wameenda kushtaki huko tff ndo watatoa ushahidi hukohuko sasa unataka wakupe wewe kama nani,we ndo tff???
 
atashinda kumbe...sawa tff tumekusikia
 
Timu huwa zina mashabiki wengi kuliko wanachama wenye kadi
 
Asante kwa elimu ya nukta japo umekuwa aggressive sana. Tukirudi kwenye hoja ni kwamba shitaka la simba ni kwamba wanamshitaki mwakalebela kwa matamshi yake kwamba aliongea Na Chama wakati chama bado ana mkataba nae simba jambo ambalo naona ni rahisi sana kuwa dissolved. Labda shitaka lingekuwa Hujuma dhidi ya Simba naona lingekuwa gumu kwa mwakalebela
 
Mtu mwenyewe anayewashauri hata kuona mpira uwanjani haoni .yye anabwabwaja tu. Hadija manara hamnazo mle. Tapeli la kariakoo na LUMUMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenyewe anayewashauri hata kuona mpira uwanjani haoni .yye anabwabwaja tu. Hadija manara hamnazo mle. Tapeli la kariakoo na LUMUMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kumejaa watu wengi wanaosemasema hovyo. Kuna watu Simba walisema Aston Villa kuna hela zao Simba waende wakazichukue. Na mtu huyo hakuchukuliwa hatua kwa kusema uwongo
 
Mtu mwenyewe anayewashauri hata kuona mpira uwanjani haoni .yye anabwabwaja tu. Hadija manara hamnazo mle. Tapeli la kariakoo na LUMUMBA

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliwaaminisha wenke kuwa Simba itamfunga Yanga ima fa ima hadi wakamleta Rais wa CAF kuiona mechi hiyo. Hasira ya hivi inatafuta pa kutokea
 
Mkuu kufungwa tena baada ya kubebwa mechi ya kwanza kwa kupewa penalty nje ya 18 inauma!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kufungwa tena baada ya kubebwa mechi ya kwanza kwa kupewa penalty nje ya 18 inauma!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi ile mechi ndo iliyokuwa mechi ya finali kwa mashindano ya VPL msimu huu, mhindi alipewa zawadi ya sh. 200,000,000. Sijui aliyeandandaliwa kutwaa kombe atapewa shilingi ngapi na TFF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…