Simba yafanya kufuru

Timu inaposhiriki michuano ya kimataifa au ligi kuu lazima iwe na wachezaji wengi na wenye uwezo mkubwa
 
Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Yanga kuna asali gani kwa walimbwende wajameni??
maana naona wadada wengi ambao naona wanajitokeza kushabikia soka humu JF ni wanazi wa Yanga!
 
Hilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…