Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
word! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndaniSajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa
Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwaword! wanasajili wakidhani wanakomoa timu za ndani
Leo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata?Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Lea mambo?Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya duniaLeo ndio umejua baada ya kushindwa kuwabakisha kwa ukata?
Pila ni nini Mkuu? Umekwamwa na mwiba wa samaki?Sajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa
Hakuna mahali Yanga imetajwa acha kuwewesekaYanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Yanga kuna asali gani kwa walimbwende wajameni??Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Viva SimbaaaMnyama kwenye ubora wake
Sawa yanga itabaki kuwa Yanga lakini huwezi kuwa na timu bora kama unaruhusu wachezaji wako bora waondokeYanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
Wa kupewa na Malinzi.Timu yenye ukata inakuwa Bingwa..haya maajabu 7 ya dunia
sasa mbona mmechoma jezi ya niyonzima??Yanga bado itabaki kuwa yanga maana yanga si Niyonzima wala Ngoma maana ilikuwepo kabla hata hawajazaliwa
PovuHilo gazeti litakuwa limeuza sana mitaa ya msimbazi. Kwani ndio mitaa washabiki wanasubiria point kutoka fifa