Simba yafanya kufuru

Ndo maana tnamchukua ngoma
Simba watu wa ajabu! Walikuwa wanatokwa na povu humu wakidai wachezaji wa Yanga wazee, ajabu sasa hivi ndio limekuwa kimbilio lao! Jambo wasilolijua simba ni kwamba wananunua matatizo Okwi, Niyonzima na huyo Ngoma (kama ni kweli) ni matoto deko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…