Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
- Thread starter
- #21
Ndo maana tnamchukua ngomaSajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana tnamchukua ngomaSajilini kwa lengo pila la mechi za kimataifa
Simba watu wa ajabu! Walikuwa wanatokwa na povu humu wakidai wachezaji wa Yanga wazee, ajabu sasa hivi ndio limekuwa kimbilio lao! Jambo wasilolijua simba ni kwamba wananunua matatizo Okwi, Niyonzima na huyo Ngoma (kama ni kweli) ni matoto deko!Ndo maana tnamchukua ngoma
Tatizo mnajengewa imani mna timu yenye ushindani kupitia vyombo vya habari.Povu