Simba yafanya mauaji Geita, yatuma salamu Mbao FC

bro rekebisha mwandiko wako kiukweli huwa una hoja sana ila mwandiko wako huwa hauvutii na unaumiza macho kwa sisi wengine. tumia tu mwandiko wa jf

Kwakuwa umeniomba kiadabu zote na unaonekana Wewe una IQ nzuri na ya kutukuka basi ombi lako nimelisikia Mkuu na sasa ni rasmi nabadili mwandiko wangu na nitatumia font hii hii tu ya JF. Ni matumaini yangu makubwa kuwa umeridhika Mkuu na usikose au usiache kumfuatilia GENTAMYCINE 24/7 humu ili uwe unapata tuvitu vitu adimu.
 
asante mkuu nimeridhika na majibu yako
 
Mkuu mzee wa Amahoro sisi wengine ambao ni mashabiki wako wa kimya kimya humu JF ladha yako ya uandishi na hoja zilizotukuka huongezeka ukiwa na hiyo font unayotaka kuiacha. Hivyo itabidi tuwe tunaicopy na kuipaste kisha kuibadilisha iwe kama zamani ndiyo inanoga.
Mvua na jua bora nini? Wengine jua wengine mvua. Kama vipi itisha referendum ya font gani utumie. (am kidding on referendum). By the way, big up kwa point zilizotukuka mzee wa Kwetu pazuri.
 
Naomba msaada huku kolomije hatujui kinachoendelea,hiyo mechi ambayo simba ameshinda goal nyingi hivyo ni ligi kuu Congo au Zambia
 
Uliepost hii mada inaonekana una mapenzi mubashara kwa simba au unajifariji na kipigo cha kagera, kama wewe ni mkaazi wa Geita ukweli wa ile mechi unaujua kwa timu iliocheza na simba na kama umefikishiwa taharifa ungechunguza kwanza ndo ukapata cha kupost
 
Sijawahi kuipenda Simba ila ile safu ya viongozi"wahuni"itawacost sana..hawana weredi ..mrudisheni msomali
 

Akhsante sana Mkuu basi nitaiacha hii hii font unayoipenda Wewe na wenzako hivyo wale watakaosumbuka na hii font mtanisamehe tafadhali kwani hata Mimi pia kiukweli ninaipenda kunakotukuka.
 
Nyasi zimeshachukuliwa acha upuuzi
 
Timu mnazotakiwa kuzifunga hamfungi, mnaenda kufunga zisizohitajika.
Sahihi kabisa mkuu, hivi Simba kuifunga Geita goli 7 hata ingekua 10 ni jambo la kufungua uzi, wakati mechi za muhimu kama Kagera Simba anafungwa. Haijulikani mechi dhidi ya Mbao, Toto nk hali itakuwaje. Hii ni dalili ubingwa kwa Simba mwaka huu pia hakuna, kama kujifariji hata kwa Geita waliowapokea Simba wakitoka Kagera kwa mbwembwe za pikipiki???
 
Nilidhani utani kusikia Simba atacheza na Geita, nadhani ilikua ni namna ya kujaribu kuwarudisha wachezaji kwenye mood (kisaikolojia) ili wakikutana na Mbao fc, wawe kwenye kiwango.
 
My Take :

Simba ikubali kuwa Yanga B[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Hivi hili la mchezaji wa Kagera sugar kuhusu kucheza akiwa na kadi 3 za njano ni kweli?
 
Hivi hili la mchezaji wa Kagera sugar kuhusu kucheza akiwa na kadi 3 za njano ni kweli?
Mumezoea point za bure hhhhh kazeni kamba kwani kadi za njano na kipigo cha sugar's boy vinahusianaje?
 
Mnyama aliunguruma sana hadi koo likambana,sasa ananong'ona tu.Mnyama unani letdown...jikaze hivyo hivyo hata kama koo laumu,ushindi upo karibu ila muombee ndala pumzi imkate,upete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…