mhinah mwagilo
Member
- Jan 6, 2014
- 7
- 8
Simba hii umiza kichwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bro rekebisha mwandiko wako kiukweli huwa una hoja sana ila mwandiko wako huwa hauvutii na unaumiza macho kwa sisi wengine. tumia tu mwandiko wa jf
asante mkuu nimeridhika na majibu yakoKwakuwa umeniomba kiadabu zote na unaonekana Wewe una IQ nzuri na ya kutukuka basi ombi lako nimelisikia Mkuu na sasa ni rasmi nabadili mwandiko wangu na nitatumia font hii hii tu ya JF. Ni matumaini yangu makubwa kuwa umeridhika Mkuu na usikose au usiache kumfuatilia GENTAMYCINE 24/7 humu ili uwe unapata tuvitu vitu adimu.
Mkuu mzee wa Amahoro sisi wengine ambao ni mashabiki wako wa kimya kimya humu JF ladha yako ya uandishi na hoja zilizotukuka huongezeka ukiwa na hiyo font unayotaka kuiacha. Hivyo itabidi tuwe tunaicopy na kuipaste kisha kuibadilisha iwe kama zamani ndiyo inanoga.Kwakuwa umeniomba kiadabu zote na unaonekana Wewe una IQ nzuri na ya kutukuka basi ombi lako nimelisikia Mkuu na sasa ni rasmi nabadili mwandiko wangu na nitatumia font hii hii tu ya JF. Ni matumaini yangu makubwa kuwa umeridhika Mkuu na usikose au usiache kumfuatilia GENTAMYCINE 24/7 humu ili uwe unapata tuvitu vitu adimu.
Mkuu mzee wa Amahoro sisi wengine ambao ni mashabiki wako wa kimya kimya humu JF ladha yako ya uandishi na hoja zilizotukuka huongezeka ukiwa na hiyo font unayotaka kuiacha. Hivyo itabidi tuwe tunaicopy na kuipaste kisha kuibadilisha iwe kama zamani ndiyo inanoga.
Mvua na jua bora nini? Wengine jua wengine mvua. Kama vipi itisha referendum ya font gani utumie. (am kidding on referendum). By the way, big up kwa point zilizotukuka mzee wa Kwetu pazuri.
Nyasi zimeshachukuliwa acha upuuziKweli nimeamini mashabiki wa Simba ni Mambumbumbu ya kufa mtu,yaani wakina Aveva wanawachezea akili watakavyo. Embu anza na swala la nyasi then njoo kwenye ubingwa halafu malizia na hizi match zisizonampango wachezazo na kushinda kapu la magoli. Ubingwa mtauona kwenye T.V
Sahihi kabisa mkuu, hivi Simba kuifunga Geita goli 7 hata ingekua 10 ni jambo la kufungua uzi, wakati mechi za muhimu kama Kagera Simba anafungwa. Haijulikani mechi dhidi ya Mbao, Toto nk hali itakuwaje. Hii ni dalili ubingwa kwa Simba mwaka huu pia hakuna, kama kujifariji hata kwa Geita waliowapokea Simba wakitoka Kagera kwa mbwembwe za pikipiki???Timu mnazotakiwa kuzifunga hamfungi, mnaenda kufunga zisizohitajika.
Mumezoea point za bure hhhhh kazeni kamba kwani kadi za njano na kipigo cha sugar's boy vinahusianaje?Hivi hili la mchezaji wa Kagera sugar kuhusu kucheza akiwa na kadi 3 za njano ni kweli?
Simba wanacheza lini hii mechi na Mbao FC?mbao lazima ishinde hyo game