mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Simba nayo ni timu
Simba Sports club...timu ya mpira liki kuu Tanganyika heheheheheh
Timu yenu mbovu mkuu PrN-Kazi,mansoorsaid, bato na Shyland; kwani ni kipi cha ajabu!!! hizo trial-match, matokeo ya aina yoyote yale yanamweka kocha katika mazingira mazuri ya kupanga mipango inaapongika ili kuibuka na ushindi kwenye VPL.
Umewahi kuwa mwalimu/mwanafunzi? Ungejisikiaje iwapo wanafunzi wako, au mwenyewe ukiwa ndiye mwanafuzi, kufeli mock/trial exam wakati ukijiandaa kwa Mtihani wa Taifa?mansoorsaid, bato na Shyland; kwani ni kipi cha ajabu!!! hizo trial-match, matokeo ya aina yoyote yale yanamweka kocha katika mazingira mazuri ya kupanga mipango inaapongika ili kuibuka na ushindi kwenye VPL.
Timu yenu mbovu mkuu PrN-Kazi,
Usajili mlifanya kisiasa sana ndo maana mkamwacha musoti mkamsajili okwi eti kisa kuikomoa yanga!! kwa simba ile jinsi ilivyo hata mkienda trial ulaya mkirudi ni vipigo tu...
Sio kweli mkuu BBA,kwa hiyo hujaona impact ya Okwi kwenye timu? Mabao aliyofungwa Simba hata angekuwepo Mosoti yangefungwa tu. After all anayecheza nafasi ya Mosoti anajitahidi sana kwa lengo ni kukuza vipaji so kung'ang'ania maveteran.OVER