Simba yaibuka na Ushindi

Simba yaibuka na Ushindi

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Joined
Sep 11, 2020
Posts
69
Reaction score
105
IMG_20201104_190645_416.jpg

Ligi kuu Soka Tanzania Bara imeendelea kutimua vumbi hii leo katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam ikiwakutanisha Simba dhidi ya Kagera Sugar

Simba imeondoka na ushindi mnono wa Bao 2-0 ,ambapo magoli hayo yamefungwa na J.Bocco kwa mkwaju wa penati katika Dakika ya 42, na goli la pili kufungwa na S. Ndemla (45+3)’

Huu ni mchezo kabla ya mchezo wa watani wa Jadi ambao huwakutanisha Simba na Yanga, utakaochezwa siku ya Jumamosi ya tarehe 7 katika Dimba la “Mkapa Stadium”
 
Mods wanakulea sana wewe na nyuzi zako za ajabu ajabu
 
Back
Top Bottom