Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Ni kwa vile basi tu sina madalaka kuna watu unaweza kuwanyonga bila kupepesa macho. Hivi kwa mfano refer wa mechi yaleo baada ya mechi akipelekwa kuangalia maludio ya alichokifanya awezi kuzimia kwa pressure?
Usimlaumu mkuu,anafamilia yule njaa mbaya sana,hapo kashaambiwa mtoto atasomeshwa hadi chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…