Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Yaani Simba kuingia uwanjani ni kupenda tu kutoa burudani kwa mashabiki...Lakini tuna uwezo wa kufanya lolote[emoji23][emoji23]
Tunafanya tunavyotaka..SimbaNguvuMoja
Tunafanya tunavyotaka..SimbaNguvuMoja
Duu si kwa mbeleko ile! kweli mmedhamilia!!!! Ndio mana vi timu vyetu vinachapika tu! Ligi mbovu hutoa timu mbovu ya Taifa! Tukutane Misri mwezi Juni