Duu si kwa mbeleko ile! kweli mmedhamilia!!!! Ndio mana vi timu vyetu vinachapika tu! Ligi mbovu hutoa timu mbovu ya Taifa! Tukutane Misri mwezi Juni
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Mwanasimba huyoMmemsikia Kocha KMC nyie Makocha wa Mitandaoni..?
Mkuu,kwani penati zote mbili hawakushika??Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Weka kipande cha video tuone na kujadiliNimecheka pale erasto nyoni alipotoa pasi mbovu hlf kmc wakaiwahi,fasta refa akapiga filimbi eti faulo [emoji2][emoji2],dah!si kwa mbeleko hii ya leo
Ukiitwa kutoa ushahidi Takukuru unaweza kuthibitisha hilo???Karia sio wakuchekewa tena anaua mpira wetu.. TAKUKURU ingieni kazini hii aibu sasa. .
Angalau umenena, lkn pia kikosi lazima kifumuliwe. Kuna wachezaji wengi tu hawana hadhi na kiwango cha kuichezea Simba hii ya Club Bingwa Afrika.Kwa maslahi mapana ya Taifa letu,mpira wetu kutangazika,wacha simba achukue ubingwa tuu maana ndio anatendea haki uwakilishi wa nchi Mambo mengine kawaida kwenye soka mwaka 2002 katika kufuzu kuja ujerumani World Cup ya 2002 Brazil vs Argentina ilibidi Brazil apewe penati 4 ili ashinde FIFA na America ya kusini ipate mwakilishi Bora na bingwa wa kihistoria....baada ya kubebwa Brazil akaenda kutwaa kombe la dunia kule ujerumani kwaio mda mwingine Kuna kukamiwa kwa Timu kwenye mechi za ndani ndomana hata unaona kwenye mechi fair play mchezaji mkubwa huwa analindwa...kwaio TFF kulinda Timu kubwa kwenye mechi ni fair play tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na vipi Okwi hakushika!!? Vipi ile offside ya KMC!? Usijitie upofu.Mkuu,kwani penati zote mbili hawakushika??
Kuhusu Okwi hakushika.Na vipi Okwi hakushika!!? Vipi ile offside ya KMC!? Usijitie upofu.
Mara Elfu aanze Nikolas GyanYule hafai kuanza mechi za TPL tena wameshamfanyia kazi
FT KMC 1 Simba 2
Mnyama kalazimisha ushindi.
Msamehe bure amezoea kakatiy mwenenzikwa hilo la Zahera kuongea ungekaa kimya ukaficha aibu yako. Kufungwa au kushinda kwa timu ni suala la kiufundi, timu ikifungwa unataka aseme Nani? Liverpool ikifungwa huwa unamsikia Nani anaongea?
Sasa usipochukua ubingwa huko kimataifa utaenda kwa njia gani acha kutuchelewesha wewe refaMimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.