Simba yaingia katika rekodi ya timu zilizotoa vipigo vikubwa katika historia ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Simba yaingia katika rekodi ya timu zilizotoa vipigo vikubwa katika historia ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
FrhO9MyWYAYzgGp.jpg
Simba imeweka rekodi ya kuwa timu ya pili kutoa kipigo kikubwa kwa uwiano wa magoli katika Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ni baada ya kuichakaza Horoya AC magoli 7-0 kwenye Uwanja wa Mkapa, Machi 18, 2023.

Timu inayoongoza katika rekodi hiyo ni TP Mazembe ambayo ilitoa kipigo cha magoli 8-0 kwa Club Africain Mwaka 2019.


Top 10 BIGGEST DEFEATS in CAF Champions League Group Stage history

2019 - TP Mazembe 8-0 Club Africain
2023 – Simba 7-0 Horoya
2001 - ASEC Mimosas 7-1 CR Belouizdad
1998 - Raja 6-0 Young Africans
2004 - Enyimba 6-0 Big Bullets
2000 - Africa Sports 6-1 Sundowns
2003 - Ismaily 6-1 Enyimba
2018/19 - Vita 5-0 Simba
Al Ahly 5-0 Simba
2004 - Espérance 5-0 Jeanne d'Arc
2015 - TP Mazembe 5-0 Moghreb Tetouan
 
Ndani ya kipindi hicho hicho Simba akafuzu kuingia robo fainali na As vita ikafeli kufuzu.
Interesting.[emoji1][emoji1][emoji1]
Heee, tumeshahama kwenye rekodi tunaangalia kufuzu? 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Heee, tumeshahama kwenye rekodi tunaangalia kufuzu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa zile goli tano walizotufunga wao ziliwadaidia nini katika hatua ile ya makundi? Sawa walipata sifa kuwa waliifunga Simba goli tano,je, walifika hatua gani baada ya hapo?
Simba ilisonga mbele tena kwa kumfunga huyo huyo aliyemfunga goli tano alafu wao wakaishia hapo hapo kuonyesha kuwa Simba tulikuwa na plan za kufuzu.
Kufuzu hatua inayofuata ni jambo la msingi kukiko yote kama hujui.
 
Back
Top Bottom