Simba yaingia kwenye rekodi Afcon 2019

Simba yaingia kwenye rekodi Afcon 2019

LENGISHO

Senior Member
Joined
Sep 15, 2017
Posts
169
Reaction score
265
1143141

SIMBA YAINGIA KWENYE REKODI AFCON 2019
BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWA KUPELEKA WACHEZAJI WAKE 6 KTK TIMU ZA TAIFA ZINAZOSHIRIK MICHUANO YA AFCON NCHINI MISRI.
Simba imefanikiwa kuzipiki klabu kubwa kama vile ARSENAL iliyopeleka mchzaji mmoja Mohamed Elneny , Man U iliyopeleka mchezaji mmoja (Eric Bailly ) Crystal Palace iliyopeleka wachzaji wawili Wilfried Zaha na Bakary Sako iliyopeleka wawiliity Dieumerci Mbokani na Ahmed Elmohamady. Leicester City iliyopeleka wachzaji 3 Riyad Mahrez Islam Slimani na Daniel Amartey Liverpool Mohamed Salah na Mane

1º de Agosto 8
Rennes 7
Kaizer Chiefs 7
Simba FC 6
Mamelodi Sundowns 6
Zamalek 6
Reims 6
TP Mazembe 6
ES Tunis 6
Galatasaray 6
Al Ahly 5
Pyramids FC 5
Sofapaka 5
Bidvest Wits 5
 
Kikubwa ni kwamba ligi ya Tanzania imepeleka wachezaji zaidi ya kumi kwenye hyo michuano ukitoa wanaochezea timu yetu ya taifa.
 
Kikubwa ni kwamba ligi ya Tanzania imepeleka wachezaji zaidi ya kumi kwenye hyo michuano ukitoa wanaochezea timu yetu ya taifa.
Sidhani kama wanazidi kumi ukiondoa wa litimu la CCM.
(1) Emmanuel Okwi
(2) Thaban kamusoko
(3) Juuko murshid
(4) Wadada
(5) Jonathan nayimana
Nadhani ni hawa tu kama nina mapungufu unaweza kuwataja niliowasahau
 
ni 11 pamoja na wa ndani
 
Sidhani Kama wanatambulika hata ki East Africa
 
Sidhani kama wanazidi kumi ukiondoa wa litimu la CCM.
(1) Emmanuel Okwi
(2) Thaban kamusoko
(3) Juuko murshid
(4) Wadada
(5) Jonathan nayimana
Nadhani ni hawa tu kama nina mapungufu unaweza kuwataja niliowasahau
1. Tafatha Kotinhyo
2. Bigrimana Breizi
 
1. Tafatha Kotinhyo
2. Bigrimana Breizi
Tafatha mbona sijamuona kwenye kikosi cha Zimbabwe au nimeona vibaya

Bigirimana breizi hayupo kwenye timu ya Burundi hiki hapa kikosi chao cha wachezaji 28 kilichoitwa

Here is the 28 man-squad named for the 2019 AFCON
1. NAHIMANA Jonathan 2. NDIKUMANA Justin 3. ARAKAZA Mac Arthur 4. RUKUNDO Onésime 5. MOUSSA Omar 6. NDUWARUGIRA Christophe 7. NIZIGIYIMANA Abdoul Karim 8. HARERIMANA Rachid Léon 9. NSABIYUMVA Frédéric 10. NGANDO Omar 11. NSHIMIRIMANA David 12. DELANYS Valentin Adelin 13. BEMBO Leta Joel 14. KWIZERA Pierre 15. BIGIRIMANA Gaël 16. NDAYISHIMIYE Youssouf 17. DUHAYINDAVYI Gaël 18. NAHIMANA Shassiri 19. SABUMUKAMA Enock 20. SHABANI Hussein 21. AMISSI Mohammed 22. NDIKUMANA Yamini Selemani 23. AMISSI Cédric 24. MUSTAFA Francis 25. BERAHINO Saido 26. ABDOUL Fiston 27. MAVUGO Laudit 28. KAMSOBA Elvis

Mpaka sasa wameshakula kidudekutoka kwa Guinea mechi inaendelea
 
View attachment 1143141

SIMBA YAINGIA KWENYE REKODI AFCON 2019
BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWA KUPELEKA WACHEZAJI WAKE 6 KTK TIMU ZA TAIFA ZINAZOSHIRIK MICHUANO YA AFCON NCHINI MISRI.
Simba imefanikiwa kuzipiki klabu kubwa kama vile ARSENAL iliyopeleka mchzaji mmoja Mohamed Elneny , Man U iliyopeleka mchezaji mmoja (Eric Bailly ) Crystal Palace iliyopeleka wachzaji wawili Wilfried Zaha na Bakary Sako iliyopeleka wawiliity Dieumerci Mbokani na Ahmed Elmohamady. Leicester City iliyopeleka wachzaji 3 Riyad Mahrez Islam Slimani na Daniel Amartey Liverpool Mohamed Salah na Mane

1º de Agosto 8
Rennes 7
Kaizer Chiefs 7
Simba FC 6
Mamelodi Sundowns 6
Zamalek 6
Reims 6
TP Mazembe 6
ES Tunis 6
Galatasaray 6
Al Ahly 5
Pyramids FC 5
Sofapaka 5
Bidvest Wits 5
Mahrez yuko man city
 
Liverpool wana wachezaji 3.
1. Mohamed Salah(Egypt)
2. Sadio Mane (Senegal)
4. Naby Keita (Equatorial Guinea a.k.a Guinea)
 
Simba ameweka record gani bwana? Hebu kakojoe ukalale uondoe shombo hapa
 
Ulivyotaja Leicester city imempeleka Riyad Mahrez nikazidi kuona huu uzi wa kimbumbumbu
 
View attachment 1143141

SIMBA YAINGIA KWENYE REKODI AFCON 2019
BAADA YA KUSHIKA NAFASI YA PILI KWA KUPELEKA WACHEZAJI WAKE 6 KTK TIMU ZA TAIFA ZINAZOSHIRIK MICHUANO YA AFCON NCHINI MISRI.
Simba imefanikiwa kuzipiki klabu kubwa kama vile ARSENAL iliyopeleka mchzaji mmoja Mohamed Elneny , Man U iliyopeleka mchezaji mmoja (Eric Bailly ) Crystal Palace iliyopeleka wachzaji wawili Wilfried Zaha na Bakary Sako iliyopeleka wawiliity Dieumerci Mbokani na Ahmed Elmohamady. Leicester City iliyopeleka wachzaji 3 Riyad Mahrez Islam Slimani na Daniel Amartey Liverpool Mohamed Salah na Mane

1º de Agosto 8
Rennes 7
Kaizer Chiefs 7
Simba FC 6
Mamelodi Sundowns 6
Zamalek 6
Reims 6
TP Mazembe 6
ES Tunis 6
Galatasaray 6
Al Ahly 5
Pyramids FC 5
Sofapaka 5
Bidvest Wits 5
Iwobi wa Nigeria anachezea wapi?
 
Ulivyotaja Leicester city imempeleka Riyad Mahrez nikazidi kuona huu uzi wa kimbumbumbu
Robo stage....[emoji1241][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125].......long way...
 
Kwa hiyo matokeo mabovu ya Stars ni kwa kiasi kikubwa kutokana na wachezaji wa Simba

SimbaEmu mnalitia aibu taifa.
 
Back
Top Bottom