Simba yaingiwa na kiwewe

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Unafupofukuziwa nyuma na timu yenye majeruhi wengi ambayo inapata matokeo mazuri mfululizo kwa timu makini kama Azam na Lipuli lazima psycholojia yako itayumba hata kama hutaki iyumbe.
Itakulazimu ujione kama unacheza na timu mbili kila wakati uwapo uwanjani, unayochezanayo na inayokufukuzia.

Wachezaji, viongozi na mashabiki wanajiona kama vile watu waliotangulizwa tu mbele kwa baiskeli za miti kama inavyowatokeaga. Wanajiona kama watu wasiotakiwa kufanya kosa lolote kwenye kila mechi hata lile la kibinadamu la mchezaji kuugua, kuumia au kupewa kadi. Ni mateso ya hali ya juu kwa kocha, wachezaji, viongozi na mashabiki kama hali ikiwa hivyo!!
 
Zikibaki mechi 6 msimu uishe, itajirudia ile Headline yetu pendwa magazetini....

 
Yanga SC, haya bhana!
Ila Simba ya msimu huu sio ya msimu uliopita, yena ilonyang'anywa ubingwa na malinzi.
 
Yanga SC, haya bhana!
Ila Simba ya msimu huu sio ya msimu uliopita, yena ilonyang'anywa ubingwa na malinzi.
Itafikia wakati kila refa amehongwa na kila kiongozi wa TFF anakula njama!! sijui hizo njama zina ladha gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…