kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Unafupofukuziwa nyuma na timu yenye majeruhi wengi ambayo inapata matokeo mazuri mfululizo kwa timu makini kama Azam na Lipuli lazima psycholojia yako itayumba hata kama hutaki iyumbe.
Itakulazimu ujione kama unacheza na timu mbili kila wakati uwapo uwanjani, unayochezanayo na inayokufukuzia.
Wachezaji, viongozi na mashabiki wanajiona kama vile watu waliotangulizwa tu mbele kwa baiskeli za miti kama inavyowatokeaga. Wanajiona kama watu wasiotakiwa kufanya kosa lolote kwenye kila mechi hata lile la kibinadamu la mchezaji kuugua, kuumia au kupewa kadi. Ni mateso ya hali ya juu kwa kocha, wachezaji, viongozi na mashabiki kama hali ikiwa hivyo!!