Washaanza kufuata hatua za Yanga walikuwa wanachukua mechi kubwa kubwa wafanye majaribioWanafuta machozi kwa vitimu vidogovidogo
🤣🤣🤣ulitaka wafungwe?Wanafuta machozi kwa vitimu vidogovidogo
[emoji23][emoji23]Washaanza kufuata hatua za Yanga walikuwa wanachukua mechi kubwa kubwa wafanye majaribio
Yeye Yanga kajifungia avic town harafu anaomba mechi za kirafiki na timu ndogondogo wakamsema sana Yanga lkn ndiyo akafika fainali leo kaona utamu wa hiki Yanga alokuwa anafanya kaamua kulifanya na yeye
YANGA BABA LAO
😀😀.Yaaah kafunga bonge la mgoli
Onana huyu huyu mnayetaka kubadilishana na Lusajo wa Namungo?Yaaah kafunga bonge la mgoli
Leo Novemba 19, 2023 klabu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kuibuka na ushindi wa 4-0 huku Leandre Essomba Onana akiwa miongoni mwa wafungaji.
FT: SIMBA SC 4-0 DAR CITY
[emoji460] Che Malone
[emoji460] Willy Onana
[emoji460] Israel Mwenda
[emoji460] Mosses Phiri
Wekundu wa Msimbazi wanaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni.
NB ....Simba gari limewaka 5__1 tunakuja ku revenge
#KitengeSportsView attachment 2818623
Nakubali na wala siidharau Dar City. Isipokua hapo ni mama na mwana ndio point yangu.Dar city ni timu kubwa mkuu