Simba yainyuka Dar city 4_0 Onana kambani

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo Novemba 19, 2023 klabu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kuibuka na ushindi wa 4-0 huku Leandre Essomba Onana akiwa miongoni mwa wafungaji.

FT: SIMBA SC 4-0 DAR CITY
[emoji460] Che Malone
[emoji460] Willy Onana
[emoji460] Israel Mwenda
[emoji460] Mosses Phiri

Wekundu wa Msimbazi wanaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni.

NB ....Simba gari limewaka 5__1 tunakuja ku revenge

#KitengeSports
1700387941373.jpg
 
Wanafuta machozi kwa vitimu vidogovidogo
Washaanza kufuata hatua za Yanga walikuwa wanachukua mechi kubwa kubwa wafanye majaribio

Yeye Yanga kajifungia avic town harafu anaomba mechi za kirafiki na timu ndogondogo wakamsema sana Yanga lkn ndiyo akafika fainali leo kaona utamu wa hiki Yanga alokuwa anafanya kaamua kulifanya na yeye

YANGA BABA LAO
 
[emoji23][emoji23]
 
Leo Novemba 19, 2023 klabu ya Simba imecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dar City na kuibuka na ushindi wa 4-0 huku Leandre Essomba Onana akiwa miongoni mwa wafungaji.

FT: SIMBA SC 4-0 DAR CITY
[emoji460] Che Malone
[emoji460] Willy Onana
[emoji460] Israel Mwenda
[emoji460] Mosses Phiri

Wekundu wa Msimbazi wanaendelea kujifua kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa Novemba 25, 2023 saa 10:00 jioni.

NB ....Simba gari limewaka 5__1 tunakuja ku revenge

#KitengeSportsView attachment 2818623

????????
 
Back
Top Bottom