Simba yairarua Dodoma FC, Ndemla atupia

Simba yairarua Dodoma FC, Ndemla atupia

kirerenya

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2013
Posts
1,696
Reaction score
2,253
Timu ya Simba SC imeibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Dodoma FC katika mchezo wa kirafiki, goli limefungwa na Said Ndemla dk. 69.
Simba Nguvu moja

simba.jpg
 
Njaa zitawauwa...mechi kama hizi ni kutafuta injuries tu
 
Back
Top Bottom